WORKSHOP Maalumu kwa Wafanyabiashara wanaohitaji kuendesha biashara zao mitandaoni kwa kutumia AI kukuza biashara zao
Muda wa Kumaliza Workshop Hii: MIEZI MIWILI (kipindi ni kimoja kila weekend)
Gharama Tsh 150,000/= kwa mtu mmoja,
(OFA ya Tsh 110,000 Endapo ukija Kujisajili wewe na mwenzako)
Kufahamu Ai zote muhimu kwa mfanyabiashara
kutengeneza Personal Character na Personal Assistant AI
Ai kwa ajili ya kutengeneza Business Plan
Ai kwa ajili ya kutengeneza Business Strategy
Jinsi ya kutumia Ai kupata Contents Idea na CONTENTS CALENDAR
Jinsi ya kutumia Ai kutengeneza Contents Bundle (VIDEO & PICHA)
kutumia AI kufanya Social media marketing (kusponsor matangazo)
kutumia AI kusimamia Biashara na Mauzo.
1. Jinsi ya kufanya Matangazo kwa kutumia Meta Ads Manager & Business Suite kwa simu
2. Jinsi ya Kutengeneza Customer decision stages & tracking (itakusaidia kumchuja mteja)
3. Jinsi ya Kuweka Ofisi/Location kwenye Google
Mr akilikubwa ANASTAAFU rasmi Mwezi Dec 2025, ataifundisha na kuongoza yeye mwenyewe Workshop hii Maalumu kabla HAJAASTAAFU Rasmi.
Workshop hii itaanza Rasmi Tarehe 20.October.2025, jisajili mapema hivi sasa.
>> Muda wa Workshop Hii Ni Miezi Mwili (WIKI NANE)
>> Kipindi ni kimoja kwa WIKI (Weekend)
>> Mada Zote Zinafundishwa ONLINE
>> Pia zinaweza fundishwa Darasani kwa mahitaji maalumu
GHARAMA Ni Tsh 150,000/= (Mada zote)