INTAKE THREE | ALL THREE LEVELS RESULTS
Kozi hii ilikua na Jumla Ya Wanafunzi 22 wakati inaanza, ni wanafunzi 16 ambao walifanikiwa kufika Level three kwa kufaulu Task zote zinazohitajika na haya hapa chini ndio Matokeo ya TASK ZOTE walizofanya.
INTAKE THREE | LEVEL THREE BEST PERFORMER
Katika kozi hii kwenye hii Level ya tatu mwanafunzi aliyefanya Vizuri kuliko wote alipata Jumla ya Marks 85.33 (A), Jina lake ni Khalfan Bakari Mlope.
INTAKE THREE | LEVEL THREE BEST PERFORMER CERTIFICATE
Kijana Khalfan Bakari Mlope alitunukiwa Cheti chake baada ya kufanya vyema kuliko wanafunzi wengine kwenye intake hiyo.
CERTIFICATES OF BEST TOP THREE PERFORMER ON INTAKE THREE LEVEL THREE
hivi hapa ni vyeti vya wanafunzi watatu waliofanya vizuri kwenye Intake Three Level Three.
No 01: Khalfan Bakari mlope | Marks 85.33 (A)
No 02: Erick Peter Athuman | Marks 85 (A)
No 03: Athuman Haruna Mbonde | Marks 83 (A)