Kozi Maalumu kwa Wanafunzi waliomaliza Elimu ya Sekondari Pamoja na vyuo mbalimbali waliokidhi vigezo vinavyohitajika,
Muda wa Kumaliza topics zote ni: MIEZI MINNE
Mwanafunzi anayemaliza Level One na Kufaulu anapewa Cheti kijulikanacho kama, "Certificate of Social Media Management"
Mwanafunzi anayemaliza Level Three na Kufaulu anapewa Cheti kijulikanacho kama, "Advanced Certificate In Digital Marketing"
Mwanafunzi anayemaliza Level Four, pamoja na kufanya FIELD PRACTICAL na Kufaulu anapewa Cheti kijulikanacho kama, "Professional Diploma In Digital Marketing & Strategies"
Gharama ni Tsh 650,000/= (Inajumuisha Levels Zote Nne)
>> Muda wa Kumaliza Modules Zote ni MIEZI MINNE
>> Muda wa Kufanya FIELD PRACTICAL/PROJECT ni SIKU 90
>> Masomo yote yanafundishwa DARASANI na ONLINE (Google Meet) mara tatu kwa wiki katika mwezi wa kwanza na wa pili, miezi miwili inayobaki ni mara moja kwa wiki.
>> Muda wa Kumaliza masomo ni: MIEZI MINNE
· Facebook Ads (Meta Ads Manager & Business Suite)
· Instagram Ads
· Basic Content Management
· Account and Pages Audit & Management
· Technical Issue Troubleshooting
· Meta Ads All Objectives
· Audience Creation And Management
· Advanced Ads creation
· WhatsApp Marketing
· TikTok Ads
· X (twitter) Ads.
· Hashtag & Trend Research
· Google Profile Optimization
· Other Profile Optimization
· Google Ads
· YouTube Ads
· Landing Page Creation
· Sales Funnel Design]
· Copywriting
· Customer decision stages & tracking
· Meta Pixel Installation
· Google Tag & Google Analytics (GA4)
· No code Website Creation
· Email Marketing
· Knowledge of Algorithms
. Advanced Artificial Intelligence (Ai)
· LinkedIn Profile Setup & Engaging
· Youtube & Facebook Monetization
· Basic Sales Technique
· Strategic Planning
· Public Speaking
· Training & Coaching Strategies